Exim Bank
 • comoros
 • djibouti
 • uganda
Search

Tap Tap Utoboe

Tap TapUtoboe

MALIZA KIRAHISI KIDIGITALI. CODE ZA KIJANJA

Tap Tap Utoboe

Kamilisha mahitaji yako ya kibenki kokote ulipo, upate nafasi ya kuchomoka mshindi!

 • Fanya miamala kupitia simu ushinde Pesa kila wiki na mwezi.
 • Lipia bili zako na App uchomoke na piki piki.
 • Fanya malipo ya serikali mtandaoni upige madili na bajaji.
 • Maliza kirahisi kidigitali utambe mjini na gari.

 

 • Fungua akaunti kupita App ya Exim Bank.
 • Tuma pesa Kwenda Benki na mitandao ya simu.
 • Fanya malipo ya Serikali na bili binafsi.
 • Uliza salio na taarifa fupi au kamili ya akaunti yako.
 • Toa pesa kwa Exim Wakala na mobile banking.
 • Pata huduma za benki kwa usalama na uhakika.


To know more, get in touch!