Exim Bank
 • comoros
 • djibouti
 • uganda
Search

Wajasiriamali Account

Akaunti Ya Exim Wajasiriamali

Akaunti hii ni maalumu kwa wafanya biashara wadogo ambao biashara zao hazijasajiliwa. Akaunti hii inakuwezesha kuweka akiba, kupokea pesa, kufanya malipo pamoja na kutoa pesa.

Wajasiriamali Account

Faida za Exim Wajasiriamali Akaunti

 • Urahisi wa kufanya malipo na viwango nafuu unapotoa fedha kwa kutumia kadi yako ya benki
 • Kufanya miamala kirahisi popote pale ulipo kupitia simu yako, mtandaoni na kupitia Wakala wetu
 • Upatikanaji wa huduma kirahisi masaa 24/7
 • Kufanya manunuzi mitandaoni na sehemu yoyote ya biashara
 • Akaunti hii unaweza kufungua kwa Shilingi ama dola
 • Unaweza kufungua akaunti ya pamoja
 • Unaweza kufanya malipo kwa kutumia Hundi

Mahitaji ya kufungua Akaunti

 • Picha 2 za passport size
 • Kitambulisho(Passport, NIDA, kitambulisho cha mpiga kura au Leseni ya udereva)
 • Barua kutoka serikali ya mtaa(Kwa asiyekuwa na NIDA)
 • Cheti cha mlipa kodi (TIN au leseni ya biashara)
To know more, get in touch!