Suluhisho za kifedha Zinazokufaa kwa Kila Hatua ya Kifedha

Tunakupatia njia rahisi zakuweza kufanikisha hilo. Tunafanya huduma za benki za kila siku ziwe rahisi na zisizokuwa na msongo, kwa mbinu zinazosaidia kudhibiti matumizi yako na njia rahisi za kuweka akiba

Omba Mrejesho
Lipa ChapChap

Lipa ChapChap

Lipa ChapChap inarahisisha ulipaji kwa kuwezesha biashara na wateja kufanya malipo haraka kwa kuskani QR code au kutumia USSD, na hivyo kuondoa usumbufu wa pesa taslimu. Suluhisho hili linawawezesha wafanyabiashara kuboresha mifumo yao ya malipo bila gharama za ziada, kuongeza ufanisi, na kurahisisha utoaji huduma kwa wateja.

Sifa Muhimu

  • 1
    Inapokea malipo kutoka mitandao yote ya simu na benki.
  • 2
    Mfumo rahisi na wa haraka unaotumia QR na USSD codes.
  • 3
    Ada nafuu kwa miamala kati ya mitandao au benki.

Faida kwa Biashara Yako

  • 1
    Hakuna makato kwa mfanyabiashara kupokea malipo.
  • 2
    Malipo ya papo hapo kwa ufanisi zaidi.
  • 3
    Urahisi mkubwa kwa wateja kulipia.
  • 4
    Usalama zaidi kwa kupunguza changamoto za kutumia pesa taslimu.
card

Wasiliana nasi leo kupata huduma hii

exim-logo

Huduma zote kwenye kiganja cha mkono wako

Pakua Programu Sasa!

Programu yetu ya simu ya mkononi hutoa ufikiaji rahisi wa fedha zako, kukuwezesha kufungua na kudhibiti akaunti zako kwa urahisi, kuhamisha fedha, kulipa bili, na kukaa katika kitanzi na masasisho ya miamala ya wakati halisi.

exim-logoexim-logo