Suluhisho za kifedha Zinazokufaa kwa Kila Hatua ya Kifedha
Tunakupatia njia rahisi zakuweza kufanikisha hilo. Tunafanya huduma za benki za kila siku ziwe rahisi na zisizokuwa na msongo, kwa mbinu zinazosaidia kudhibiti matumizi yako na njia rahisi za kuweka akiba
Omba MrejeshoPersonalized Banking Experience

Akaunti ya Nyota Junior
Ukiwa na Akaunti ya Nyota Junior, unaweza kuwekeza kwa amana, kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kwa jina la mtoto wako kwa kiasi kidogo cha hadi TSH 10,000. Hii akaunti inakuruhusu kuweka pesa kwa kipindi cha mwaka mmoja, kwa TSH na USD, huku ukinufaika na viwango vizuri vya riba.
Sifa & Faida
- Akiba ya kila mwezi: Wekeza/fanya amana ya kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kwa jina la mtoto wako (Salio la chini - TSH 10,000)
- Muda maalum: Fanya amana kwa kipindi cha mwaka 1 kwa TSH na USD na upate riba ya ushindani
- Faida za mwisho wa muda: Jumla ya akiba iliyojilimbikiza yenye riba
- Zawadi: Vitengo hivi vya amana vinaweza kutolewa zawadi kwa ndugu wa mtoto
Mahitaji
- Cheti cha Kuzaliwa cha mtoto
- Picha 3 za pasipoti za mtoto
- Mahitaji ya mzazi au mlezi ni sawa na Akaunti ya Faida ya Akiba

Fill This Form If You Wish To Open An Account:



