Pamoja Hadi Mwisho:
Pamoja Hadi Mwisho ni Bima ya maisha kwa vikundi rasmi au visivyo rasmi yenye lengo la kusadia vikundi na wanavikundi dhidi ya majanga yatokanayo na Vifo, Ulemavu wa Kudumu na Elimu kwa Watoto wanaoachwa pindi mwanachama anapo fariki.
Bima hii ya Pamoja Hadi Mwisho imeletwa kwako kwa lengo la kuhakikisha huwaachwi nyuma linapokuja suala la kujilinda wewe na familia yako uipendayo.
Faida za Bima ya Pamoja Hadi Mwisho:
-
Hakuna muda wa kusubiri (Waiting Period).
- Kumlinda mwanachama, mweza, wazazi, wakwe na watoto (Hadi 4) kwenye janga la kifo.
- Kumlinda mwanachama pale anapopata ulemavu wa kudumu unaotokana na Ajali.
- Uhakika wa watoto (Hadi 4) kuendelea na shule katika mwaka husika endapo kifo cha mwanachama kitatoke.
Jinsi ya Kujiunga
-
Bima hii ni ya vikundi pekee vinanvyoanzia watu 3 na kuendelea.
- Wanachama watajaza fomu ya Bima ambazo wataweka taarifa zao husika.
- Kiongozi wa kikundi atajaza fomu ya mapendekezo kwa niaba ya kikundi.
- Ada ya Bima ilipwe yote mara moja (Mwaka mzima).
- Umri wa mtoto ni kuanzia miaka (0-21).
- Umri wa mwanachama ni kuanzia miaka (18-75).
MAFAO YA BIMA YA PAMOJA HADI MWISHO
MAELEZO YA HUDUMA
|
IMARA
|
HAKIKA
|
SALAMA
|
Kifo cha mwanakikundi
|
TZS 3,500,000
|
TZS 4,500,000
|
TZS 6,000,000
|
Ulemavu wa kudumu wa mwanakikundi
|
TZS 3,500,000
|
TZS 4,500,000
|
TZS 6,000,000
|
Kifo cha Mke/Mume
|
TZS 2,000,000
|
TZS 3,500,000
|
TZS 5,000,000
|
Kifo cha mtoto (Hadi 4)
|
TZS 1,000,000
|
TZS 1,000,000
|
TZS 1,500,000
|
Mafao ya elimu kwa watoto (Hadi wa 4) baada ya kifo cha mwanakindi
|
TZS 1,000,000
|
TZS 1,000,000
|
TZS 1,000,000
|
Kifo cha Mzazi
|
TZS 500,000
|
TZS 500,000
|
TZS 500,000
|
Kifo cha mkwe
|
TZS 500,000
|
TZS 500,000
|
TZS 500,000
|
Ada ya mwezi
|
TZS 4,450
|
TZS 5,250
|
TZS 6,250
|
Ada ya mwaka
|
TZS 53,400
|
TZS 63,000
|
TZS 75,000
|