Exim Bank
 • comoros
 • djibouti
 • uganda
Search

Chanja Kijanja

Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi!
Ishi Kimasta Zaidi kwa kufanya malipo kupitia kadi yako ya Mastercard kutoka Exim Bank.

Chanja Kijanja

Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi. Ishi Kimasta Zaidi kwa kufanya malipo kupitia kadi yako ya Exim Mastercard.

Chomoka na zawadi mbalimbali kwa kufanya malipo na Exim Mastercard mara nyingi zaidi ukiwa supermarket, hotelini, kwenye huduma za usafiri, mtandaoni au popote kwenye nembo ya Mastercard.

Unakosaje shavu hili?

Jipatie kadi yako ya Exim Mastercard hapa.

Zawadi zinazotolewa ni

 • Shs 100,000/= kwa washindi 15 kila wiki.
 • IPhone 14 Pro mpyaaa kila mwezi.
 • Safari yenye kulipiwa gharama zote (wewe na mwenza wako).
  • Mshindi #1 atadondoka Dubai.
  • Mshindi #2  atadondoka Istanbul (Uturuki).
  • Mshindi #3 atadondoka Johannesburg (Afrika Kusini).


  Jinsi ya kuchomoka na mazawadi !

  Zawadi zitawaniwa kwa njia ya bahati nasibu. Wateja watakaokidhi vigezo, wataingizwa kwenye bahati nasibu na kupata nafasi ya kuwania zawadi zilizotajwa. Vigezo hivyo ni;

  • Kufanya miamala ya malipo kuanzia TZS 100,000 na kuendelea (katika muamala mmoja au miamala tofauti tofauti ndani ya wiki).
  • Kufanya miamala ya malipo kuanzia TZS 400,000 na kuendelea (katika muamala mmoja au miamala tofauti tofauti ndani ya mwezi).
  • Kufanya miamala ya malipo kuanzia TZS 1,200,000 na kuendelea (katika muamala mmoja au miamala tofauti tofauti ndani ya wiki).


Unaweza Chanja Kijanja zaidi kupitia :

Hotels Restaurants Ecommerce sites Supermarkets
WhiteSands SamakiSamaki Amazon Simply Fresh
Sea Cliff Hotel KukuKuku Alibaba Village Supermarket
Grand Melia Coral Ridge Spurs AirBnB Shoppers Supermarket
Pizza Hut eBay Inc Shrijee Supermarket
KFC Duka Direct Simba Supermarket
See you latte Jumia
EB 25 Pepperstone
Upepo Kikuu
Salt Restaurant
Barometer Bistro
Capetown Fish Market
Small Planet
Travel Lifestyle Other
Air Tanzania Uber JD Pharmacy
Turkish Airlines Apple Inc Safari Automative Upholstery
Auric Air Netflix Heritage Insurance
Kilimanjaro Fast Ferries DSTV Alliance Insurance
Melia Zanzibar Strategis Insurance
Skylink MMI
Waljis MOHANS
AFRO GEMS
Butcher Shop
Toyota

Chanja Kijanja, Ushinde Kimasta! 

To know more, get in touch!